Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa kufuatia matukio ya kihalifu katika maeneo mbalimbali nchini. "Mikutano ya ndani inatumika kuhamasisha watu kuvunja sheria za nchi na kupambana na Askari kuanzia leo Jeshi la Polisi linapiga marufuku mikutano ya ndani pia". Alisema CP Nsato Marijan


Post a Comment

 
Top