Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) latangaza kusherehekea miaka 52 tangu kuanzishwa kwake kwa kufanya usafi katika maeneo mbalimbali nchini Septemba 1 mwaka huu.

Lasema litasherehekea bila kufanya maandamano ya aina yoyote na kwamba linafahamu Serikali imeshapiga marufuku maandamano siku hiyo.


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top