Aug 1, 2016

Jiwe Kubwa Lililoko Angani Hatari Kwa Sayari ya Dunia


Wanasayansi kutuma chombo kuchunguza jiwe kubwa linaloelea angani ambalo huenda likahatarisha Sayari ya Dunia mwaka 2135.

Jiwe hilo limepewa jina la BENNU lina ukubwa wa kipenyo cha mita 500 yaani urefu wa viwanja vitano vya mpira, endap litaigonga dunia mlipuko wake ni sawa na tani bilioni tatu za milipuko au sawa na mabomu 200 ya nyuklia. #


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR