Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema yeye kama mwenyekiti wa Bunge atakaa na UKAWA wamalize tofauti zao kwani haipendezi Spika unakaa mtu anatoka nje. Sasa Amesemachi hii migogoro na utengano vimezidi, ni jukumu letu kama viongozi kumaliza hii hali.

Amesema kama Spika hatavumilia vijembe na kejeli kuendelea Bungeni.

Je una maoni gani?


Post a Comment

 
Top