• Breaking News

  Aug 9, 2016

  Kauli ya Waziri Kigwangalla Kuhusu Mohammed Dewji Kuinunua Timu ya Simba

  Najua headlines za bilionea wa 21 Afrika kutaka kununua asilimia 51 ya hisa za Simba kwa Tsh bilioni 20 kama mfumo ukibadilika Mohammed Dewji imekuwa topic kubwa, kila mtu ana mtazamo wake kuhusiana na suala hilo, Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Hamisi Kigwangalla ana mtazamo kuhusiana na suala hilo.

  “Kuhusu mabadiliko mimi naunga mkono japokuwa watu huwa wanaogopa vitu vipya ila mimi sishituliwi na suala hili jipya, kuhusu mpango wa Simba kuuza hisa naunga mkono lakini asiuziwe mtu mmoja hisa nyingi, kama MO ambaye ameonesha nia ya moja kwa moja auziwe hisa ila sio zaidi ya asilimia 50”

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku