Aug 16, 2016

Kila Mwanamke Anakuja Na Baraka Zake Kama Ambavyo Kila Mwanamke Anavyokuja Na "Mabalaa" Yake.

Kila Mwanamke Anakuja Na Baraka Zake Kama Ambavyo Kila Mwanamke Anavyokuja Na "Mabalaa" Yake.

Unaweza Kuoa Mwanamke Leo Na Kesho Maisha Yako Yakabadilika Sana Na Ukafanikiwa Mpaka Ukajiuliza Alikuwa Wapi Huyu Mwanamke Siku Zote Kukushauri Na Kukuonyesha Njia.

Unaweza Kuoa Mwanamke Leo Na Kesho Maisha Yako Yakabadilika Sana Na Ukashuka Kutoka Pale Ulipokuwa Mpaka Chini Kabisa Ukaanza Mwanzo Na Ukatamani Hata Kumkufuru Mungu Kwa Yule Mtu Kuwa Kwako.

Kabla Hujaoa Muombe Sana Mungu Na Ikiwezekana Washirikishe Hata Wazazi/Walezi Wako Kwenye Maombi Yako, Mke Mwema Hutoka Kwa Bwana Na Mke Mwema Huja Kwa Maombi Na Sala.

Usikurupuke Kuoa Kwa Kuwa Umeshafanikiwa Kimaisha Na Umri Umeenda, Usikurupuke Kuoa Kwa Kuwa Unafosiwa Na Wazazi Au Ndugu Na Marafiki, Usikurupuke Kuoa Kwa Kuona Wenzako Wanakuacha Kwenye Ukapera.

Usijipe Sababu Ya Kujuta Na Usijipe Sababu Ya Kuwa Mchepukaji Kila Kukicha, Mshirikishe Mungu Katika Kila Hatua, Hutatamani Kutoka Nje Ya Ndoa.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR