Nimewaza tu siku Dr. Slaa akiamua kurudi nyumbani CHADEMA itakuwaje siku hiyo? Nilisha mnukuu Mbowe akisema Dr. Slaa ajafukuzwa hata atake kurudi leo anakaribishwa lakini cha ajabu wana CHADEMA wanashinda mtandaoni kumshambulia.

Je watabadilisha gia angani kumsafisha kama walivyofanya kwa fisadi Lowassa?

Je watamkana wakati Mbowe atakuwa kashamkubali?

Nawafikiria hawa watu nashindwa kuwaelewa kabisa

*Things change then change any time "

BAVICHA wekeni akiba ya maneno!

Imeandikwa na Technically


Post a Comment

 
Top