Lowassa na Magufuli 
Ni rahisi kuukataa ukweli lakini kitendo cha Lowassa kukutana na Rais JPM kimeondoa kama si kufuta kabisa hali ya wasiwasi iliyotanda nchini.

Hali ya kukamiana kwa hasira za kuashiria machafuko, ni dhahiri imepungua sana.

Kuna watakaotukana, kuna watakaobeza, lakini ni kitendo cha kujishusha na kukubaliana na ukweli wa kisiasa ambao utaondoa hali ya wasi wasi nchini.

Hongera Waziri Mkuu Mstaafu Lowassa, leo sukuiti Fisadi!


Post a Comment

 
Top