Lowassa na Kinana Leo
Baadhi ya watu leo hii katika mitandao ya kijamii wamshikia Bango Mh.Lowassa kuwa anapunguza Nguvu ya UKUTA kutokana na picha zake zilizo zagaa akiwa na Rais Magufuli na Viongoz wengine wa Chama Tawala katika Hafla ya Aliyekuwa Rais wa Awamu ya tatu Mh. Mkapa ... je ni kweli amekosea kuwa karibu na Viongozi hawa? ??? Je ni kweli anapunguza Nguvu ya wananchi kudai haki zao? ???Uhuru wa mawazo... karibu hapa kutoa maoni yako hapa


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top