Aug 29, 2016

KIMENUKA: Lipumba, Sakaya, Mbunge wa Mtwara Mjini na Wengine Kadhaa Watemwa CUF

Profesa Ibrahim Lipumba
Profesa Ibrahim Haruna Lipumba na wafuasi wake 10 watimuliwa rasmi uanachama wa chama cha wananchi (CUF). Wengine wapewa onyo kali.

Hayo ni maamuzi ya Baraza Kuu lililoketi leo huko Zanzibar.

Kwa taarifa zaidi fuatilia press conference ya chama kesho saa 5 asubuhi itakayosomwa na Mhe. Mazrui.

Wabunge Magreth Sakaya na Mbunge wa Mtwara mjini nao wanadaiwa kuvuliwa uanachama.

Abdul Kambaya (Mkurugenzi wa Habari) naye kavuliwa uanachama.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR