Lowassa: Rais Magufuli anafanya vizuri ila ningekuwa mimi nisingefanya hivyo, ningefanya zaidi, kama nilivyosema kipaumbele ni ELIMU, ELIMU, ELIMU, nisingeanza na madawati, ningeanza na maslahi ya walimu. Serikali ishughulike na mambo makubwa, mambo ya madawati ni ya makatibu kata.

Lowassa: Siwezi muhukumu Kikwete, yeye mwenyewe ajihukumu, na sijamuona hivi karibuni, ila sina tatizo naye.

Lowassa: Rais Magufuli ashughulikie suala la Zanzibar. Wakae chini na kuongea kama alivyofanya Amani Karume na kuleta maridhiano.Post a Comment

 
Top