Baadhi ya Madiwani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Bunda wamekataa kupokea madawati yaliyotolewa na Mbunge wa Jimbo hilo, Esther Bulaya (CHADEMA) kwasababu yameandikwa jina la Mbunge huyo.

Hii ni SAWA au SI SAWA? Toa maoni yako


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top