Aug 12, 2016

Magari ya Wananchi wa Kawaida yazuiliwa Kwa zaidi ya Masaa Mawili na Kuruhusu Kupita Magari ya CCM

Magari ya wananchi wa kawaida kutoka Banana yamezuiliwa tangia saa tatu asubuhi na kuruhusu Magari ya wanachama wa CCM kwenda kumpokea mwenyekiti wa CCM taifa

0 maoni:

Post a Comment