• Breaking News

  Aug 9, 2016

  Magufuli Afanya Uteuzi Mpya Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo


  Hassan Abbas ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.
  Uteuzi huu ni baada ya Assah Mwambene kupelekwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku