Aug 24, 2016

Majambazi Wavamia Askari Tena, Wameua Wanne na Kutokomea na Silaha...

Mmoja wa Askari Aliyepigwa Risasi na Majambazi
Moja ya stori zinazosambaa kupitia mitandao ya kijamii toka usiku wa jana August 23 2016 ni pamoja na hii inayodaiwa kuuawa kwa askari polisi wanne kufuatia tukio la uporaji lililotokea katika bank ya CRDB tawi la Mbande, Mbagala

POLISI WALIOFARIKI"
1. YAHAYA E5761 CPL
2. HATIBU F4660 CPL
3. TTITO G9544 PC

KATIKA TUKIO LA UVAMIZI WA BANK MBANDE CRDB USIKU HUU SAA 19:3 0HRS. Inasemekana SMG moja wameondoka nayo majambazi. Tukio limetokea wakati askari wakibadilishana lindo. Mmoja aliyefariki alikuwa anaingia, mmoja alikuwa anatoka na mwingine alikuwa dereva. Majambazi hayakuingia ndani ya bank. Gari Leyland Ashok limeharibiwa sana kwa risasi. Ni tukio baya sana

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR