Paul Makonda
Leo Paul Makonda mkuu wa mkoa wa DSM akiwa anaongea na waandishi wa habari ofisini kwake akasema watakao vunja sheria wapigwe na Polisi yeye ndoo atajibu je?

Sheria inasemaje kwa mhalifu nini umhimu wa mahakama hizi kauli zinalipeleka taifa pabaya sana viongozi tujaribuni kuchunga ndimi zetu ili tuokoa taifa hiliBonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top