August 21 2016 ziliripotiwa habari za mama mmoja anayejulikana kwa jina la Victoria Edward Wenga kuchoma moto maduka matatu na nyumba yake ya kuishi katika kata ya Lemara Arusha.

Chanzo cha  mama huyo kuchoma moto ilidaiwa ni ugomvi uliokuwepo kwenye familia kati ya mama huyo na mume wake anayejulikana kwa jina la Edward Wenga. Habari nilizozipokea muda si mrefu Mama zinasema kwamba mama huyo amejinyonga kwa kutumia nguo yake nakufariki dunia.

Kamanda wa polisi Arusha Charles Mkumbo amesema alijinyonga akiwa kituo cha polisi kama mahabusu ambapo polisi walipata taarifa baada ya mahabausu wenzake kupiga kelele

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top