Man Fongo
Mkali wa 'Singeli' Manfongo amesema muziki anaofanya wa Singeli umemkomboa kwani alikuwa 'mkabaji' wa vitu vidogo vidogo mtaani siku za nyuma.

Naona kaamua kuchagua fungu jema kabla ya zile siku 40 za kuvishwa tairi na kupigwa na matofali hazijamfikia.
Post a Comment

 
Top