Siku kadhaa baada ya Rais wa Ufilipino kusoma hadhrani majina ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya huku akiwataka wajisalimishe kabla hajawachukulia hatua kali, Polisi 31 na Mameya 18 wamejisalimisha.

Haya yakifanyika Tanzania, hali itakuaje?

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top