Aug 6, 2016

Marufuku Kupiga Picha Wodini..Simu za Kamera Kuzuiwa Kuingia Wodini


Naibu Waziri wa Afya, Kigwangalla ameagiza Hospitali zote nchini kuzuia kupiga picha wodi za wagonjwa, pia kuzuia simu zenye kamera kuingizwa mawodini.

Amesema picha zinazopigwa mawodini huzusha taarifa za uongo, na picha hizo hutumika kusingizia watu

No comments:

Post a Comment