Aug 20, 2016

Maumivu Makali Ukeni Wakati wa Tendo la Ndoa.....

Habari zenu jamani,

Mwenzeni ninatatizo yaani toka nijue mapenzi sijawahi kufurahia tendo hilo. Kila nikifanya mapenzi napata maumivu makali mno muda mwingine nahisi maumivu hadi kwenye kizazi. Nikimaliza tu maumivu siyapati mpaka nikifanya tena. Nifanyeje jamani, msinitukane tafadhali.

Karibuni kwa ushauriBonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR