Aug 29, 2016

Mbunge Godbless Lema Afikishwa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo..Asomewa Mashtaka

Wakili wa Godbless Lema Akiwasili Mahakani
Mh.Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema Tayari Amesomewa mashtaka mawili mfululizo na yote dhamana zipo wazi Wakili msomi John Mallya pamoja na jopo la mawakili wenzake Ameshatimiza wajibu wake, na Mashtaka yote hayo dhamana iko wazi, sasa ni taratibu zadhamana zinakamilishwa.

 Godbless J Lema, anakabiliwa na makosa ya kutuma ujumbe wa kuudhi kwa mkuu wa Mkoa pamoja na kutoa maneno ya Uchochezi kupitia audio..

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR