Aug 13, 2016

Mbunge wa Bunda Mjini Esther Bulaya Afuta Jina lake Kwenye Madawati ya Mfuko wa Jimbo na Kuyakabithi Upya Baada ya Kukataliwa

Mtakumbuka kuwa Mbunge wa Bunda Mjini alikataliwa kukabidhi madawati yaliyotengenezwa kwa fedha za mfuko wa Jimbo baada ya kuandika jina lake. Bulaya alikiri kutenda kosa nadhani kwa lengo la kujitafutia umaarufu. Madawati hayo sasa yameandikwa "Mfuko wa Jimbo 2016 Bunda Mjini" badala ya "Mfuko wa Jimbo 2016 Esther Bulaya".

Ikumbukwe kuwa fedha za Mfuko wa Jimbo si za Mbunge bali ni za Serikali zinazotolewa kuboost shughuli za maendeleo Jimboni ambapo kuna kamati maalum inayoratibu na kupanga matumizk ya fedha hizo.

Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Hongera Mheshimiwa Esther Bulaya
Akikabithi Madawati Baada ya Kufuta jina lakeBonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR