• Breaking News

  Aug 4, 2016

  Mchungaji Afariki Baada ya Kufunga Siku 30 Akitaka Kuvunja Record ya Yesu


  AFRIKA KUSINI: Mchungaji mmoja amefariki baada ya kufunga usiku na mchana siku 30 akitaka kuvunja rekodi ya Yesu aliyefunga kwa siku 40.

  Mchungaji huyo aliondoka nyumbani kwake na kuelekea nyikani kwa ajili ya kufunga na kuomba, huku akiweka nia kwa Mungu ya kujitenga na anasa za ulimwengu.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku