Nampongeza sana huyu mama kwa uchapakazi wake.
Ila ni maoni yangu kwamba, ili kuendana na hoja ya Tanzania ya viwanda, kiingereza kiwe ni lugha rasmi ya kufundishia kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo hamna cha english medium wala kiswahili medium.
Pia jadiliana na wenzako wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na SADC muondoe vikwazo vyote vya walimu na wanafunzi kuvuka mipaka ya nchi husika, hasa katika elimu ya juu (ngazi ya chuo kikuu na masuala ya research).
Nawasilisha.

By Cicero

Toa Maoni yako

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top