• Breaking News

  Aug 17, 2016

  Mke Ajilipua Kwa Mafuta ya Taa Baada ya Kugundua Mume Wake Anamchepuko


  NAKURU, KENYA: Mama mmoja ambaye ni mjamzito, Cynthia Njoki(28) amejiunguza mwili mzima kwa mafuta ya taa baada ya kubaini mumewe ana mahusiano na mwanamke mwingine.
  Hali yake bado ni mbaya amelazwa hospitalini

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku