• Breaking News

  Aug 3, 2016

  Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) Amewafutia Mashtaka ya Rushwa Wabunge 3


  KISUTU, DAR: Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) amewafutia mashtaka wabunge 3, Kangi Lugola (Mwibara), Victor Mwambalaswa (Lupa) na Murad Sadiq (Mvomero). Wote walikuwa wakikabiliwa na kesi ya rushwa

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku