• Breaking News

  Aug 7, 2016

  Mrema: Maandalizi Yanayofanyika Magerezani Vijana Msithubutu Kuandamana

  Akiwa Times FM jioni hii, Mwenyekiti wa Bodi ya Parole amewaasa vijana kutoshiriki kwenye vurugu za kisiasa kwa kuwa ameyaona maandalizi ya kuwapokea huko magerezani na ni balaa.
  Amezungumzia pia uhusika wa nafasi yake kwenye shughuli za Bodaboda.

  Chanzo: Times FM

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku