• Breaking News

  Aug 3, 2016

  Msanii wa Bongo Movies Gabo Apata Ajali Mbaya ya Gari


  Tunashukuru Ndugu yetu Upo samala Kikubwa Ujaumia Gari Sio Issue...... Msanii Gabo Wakati Ndugu yetu GABO ZIGAMBA akiwa Mkoani IRINGA Kuwaona Watoto Wanaoishi Mazingira Magumu Kwa Bahati Mbaya Akapata Ajali Maeneo ya Ruaha National Park. ..kwa pamoja tuungane hapa kumpa Pole kama Ishara kumpa nguvu kutokana na janga lililompata. ..hasara Roho gari mapito. .Hakika Mungu atamsadia. .wote tuseme #AMENI

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku