• Breaking News

  Aug 12, 2016

  Msichana wa Miaka 16 Aweka Record Olimpiki Kuwa Mwanamke wa Kwanza Mwenye Asili ya Afrika Kushinda Medali ya Dhahabu Katika Kuogelea


  Mwanadada mmarekani mwenye umri wa miaka 16, Simone Manuel ameweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Afrika kushinda medali ya dhahabu katika mashindano ya kuogelea katika Olympic.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku