• Breaking News

  Aug 19, 2016

  Msitegemee makubwa kutoka kwa Pogba-Mourinho

   Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, amesema watu wasitarajie makubwa kutoka kwa kiungo Paul Pogba, kwenye mchezo wake wa kwanza hii leo dhidi ya Southampton.

  Pogba aliyesajiliwa na United, kwa ada ya rekodi ya dunia kiasi cha pauni 89 milioni, alikosa mchezo wa kwanza wa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya fc Bournemouth, Jumapili iliyopita, kutokana na kutumikia adhabu ya kadi za njano.

  Mourinho, amesema kiungo huyo anaweza kufanya makubwa kiasi, na katika kusaidia timu hasa eneo la kiungo na ushambuliaji katika kutoa pasi za kufunga.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku