Aug 14, 2016

Mtangazaji Atangaza Kipindi Akiwa na Nguo ya Ndani Baada ya Kubet Hivyo Ikiwa Leicester City Itachukua Ubigwa wa England

Nyota wa zamani wa Gary Lineker jana ameendesha kipindi akiwa amevaa nguo ya ndani.

Nyota huyo alifanya hivyo kutimiza ahadi yake ya kufanya hivyo kwa kuwa aliahidi angeweza kufanya hivyo kama Leicester City ingetwaa ubingwa wa Ligi Kuu England.

Lineker alifanya hivyo huku watangazaji wenzake ambao ni magwiji wa zamani pia, Ian Wright na Alan Shearer wakicheka lie mbaya.

Lineker alikuwa haamini kama Leicester ingebeba ubingwa wa England. Mwisho ikachukua ubingwa naye ndiyo hivyo, ametimiza ahadi tena nguo yake ya ndani ikiwa na nembo ya Leicester.Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR