• Breaking News

  Aug 4, 2016

  MTU mmoja Afariki Dunia Akijaribu Kudandia Treni Ikiwa Inaondoka


  DAR: Mtu mmoja amefariki dunia, baada ya kugongwa na treni eneo la Kamata wakati alipokuwa akijaribu kuidandia ikiwa katika mwendo.

  Alidandia treni hiyo wakati ikiwa Kamata Kariakoo kwenda Stesheni akiwa na lengo la kugeuza nalo kwenda Pugu.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku