• Breaking News

  Aug 22, 2016

  Mwanamke Ateketeza Nyumba na Maduka yao Baada ya Kugombana na Mumewe Arusha


  ARUSHA: Mwanamke mmoja amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuchoma nyumba yake na maduka matatu baada ya kutofautiana na mume wake.

  Mama huyo alihamisha watoto wawili wa kike anaowalea huku akimfungia mtoto mwingine wa kiume ndani kabla ya kulipua nyumba hiyo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku