Mzee Yusuph ameamua kuachana ma Muziki na kumrudia Mungu wake na amewataka watu wote wamsamehe ili apate msamaha kwa Mola wake.

Mzee Yusuph Ameapa kuto kujihusisha na Muziki na kutaka Nyimbo zake zisipigwe tena kwenye Media zote. Mzee Yusuph alionekana analia kwa uchungu katika msikiti wa Bongoni Ilala na kujutia yale aliyokuwa akiyafanya enzi za Ujahili wake


Post a Comment

 
Top