• Breaking News

  Aug 6, 2016

  Nimeolewa ila Mume Wangu ni Kama Mke Wangu...Namlisha, Namvika, Namfanyia Kila Kitu..Ataki Kufanya Kazi..Ushauri


  Nimeolewa ila mume wangu ni kama mke wangu. Namlisha, namvika, namfanyia kila kitu na nisipofanya hivyo ananitukana kweli. Anafanya kazi anapata hela ila akipata hela anapeleka zote Bar, hana muda hata na tendo la ndoa akitoka kwenye pombe yeye ni kitandani. Niendelee nae au nimpige chini?

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku