• Breaking News

  Aug 3, 2016

  Obama na Trump Warushiana Cheche za Maneno

  Rais wa Marekani Barack Obama amemshambulia vikali mgombea wa chama cha Republican Donald Trump akisema kwua hana uwezo kuwa rais.

  Obama alitaka kujua ni kwa sababu gani chama cha Republiban kinaendelea kumuunga mkono bwana Trump.

  Alisema kuwa kinyume na wagombea wengine wa zamani wa Republican, bawana Trump hana uwezo wa kushika wadhifa mkubwa zaidi duniani.

  Trump alijibu kwa kumlaumu Obama kwa uongozi mbaya.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku