• Breaking News

  Aug 16, 2016

  Olimpiki: Mchezaji wa Judo Arudishwa Nyumbani Baada ya Kukataa Kumsalimia Mpinzani wake Kabla ya Mchezo


  BRAZIL: Mchezaji wa Judo kutoka Misri Islam El Shehaby amerudishwa nyumbani kutoka katika michezo ya Olimpiki baada ya kukataa kusalimiana na mpinzani wake Sasson kutoka Israel

  Kamati ya Olimpiki imesema kuwa tabia yake inaenda kinyume na sera ya urafiki iliopo katika maadili ya michezo hiyo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku