Aug 1, 2016

Operesheni UKUTA njia ya kumpeleka Magufuli ICC

Mwenye macho haambiwi tizama ila huangalia mwenyewe na kuona kinacho tokea. Operesheni UKUTA imeratibiwa maalumu kwa kumuweka Magufuli kwenye mtego wa kwenda ICC na wananchi kumchukia kwa mkono uliojaa damu za ndugu zao. Ikiwa hakuna sheria inayozuwia mikutano ya siasa kufanya mikutano isipokuwa kauli ya raisi na polisi tu. Leo ikitokea kufanyika mikutano na polisi kuuwa wananchi wasio na hatia Vyama vya Upinzani na kufungua kesi Mahakama ya Afrika Mashariki na ICC serikali itajitetea kwa kutumia kipengele kipi cha katiba na sheria?

By Tozi25/Jamii Forums

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

2 comments:

  1. nice Allen, sure viongozi waangalie maslahi ya wananchi also wananchi na sisi tujiongeze sio kufwata kila kauli!

    ReplyDelete
  2. Kweli kama hawafanyi fujo waruhusiwe

    ReplyDelete

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR