Patoranking ni mwimbaji kutoka Nigeria na kwa sasa yuko Tanzania kuipromote album yake mpya ya ‘God Over Everthing’ ambapo kwenye Interview na AyoTV, kajibu ni Wabongo gani wamemvutia na yuko tayari kufanya nao kolabo.

List yenyewe ina vichwa vinne tu kwa sasa ambavyo ni Vanessa Mdee, Aika na Nahreel wa Navy Kenzo pamoja na mwingine anaitwa Walid, unaweza kumtazama Pato kwenye hii video hapa chini akiwataja.


Post a Comment

 
Top