Klabu ya Leicester City ya Ligi Kuu England ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu England msimu uliopita wamepewa zawadi za magari aina ya BMW I8s kutoka kwa mwenyekiti wao  Vichai Srivaddhanaprabha kama sehemu ya furaha na zawadi ya kutwaa taji la EPL kwa msimu uliopita.

Magari hayo yaliyotolewa zawadi kwa wachezaji wa Leicester City yalikuwa nje ya uwanja wa King Power, gari aina ya BMW I8s ambazo wamepewa wachezaji hao, zinathamani ya pound 105,000 kila moja ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 300.Post a Comment

 
Top