Aug 4, 2016

Picha: Huyu Ndiye Mfanyabishara Aliyeuteka Moyo wa Shamsa Ford

Chid Mapenzi
Mfanyabiashara wa nguo ‘Chidi Mapenzi’ yupo mbioni kufunga ndoa na mwigizaji Shamsa Ford baada ya hivi karibuni kumtolea barua mrembo huyo.

Muigizaji huyo alikaririwa na gazeti la Mtanzania akisema kwamba licha ya kupita katika changamoto za wapenzi wengi, mpenzi wake huyo wa sasa ndiye aliyeonyesha ushawishi wa hadi kutaka kumuoa.

“Kwa hatua hii najivunia, hadi mwanaume akushawishi muoane huyo ana nia njema na heshima kwangu,” alisema Shamsa.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR