• Breaking News

  Aug 22, 2016

  Picha: Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida Watembeza Silaha zao Mitaani Huku Wakifanya Mazoezi ya Kuzuia fujo

  Baadhi ya askari polisi mkoani Singida, wametembeza silaha zao kwenye mitaa mbalimbali Singida mjini, kwa ajili ya kuwaonyesha wananchi silaha zilizonunuliwa kwa kodi zao.

  Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SSP Mayalla Towo, alisema zoezi hilo ni la kawaida na halina uhusiano na jambo lolote.(Picha na Nathaniel Limu).  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku