Aug 29, 2016

Picha ya Mbunge Godbless Lema Akiwa Kalazwa Baada ya Kukataa Kula Kwa Masaa 48 Akiwa Mahabusu

Godbless Lema
Picha ya Mbunge Godbless Lema akiwa kalazwa Hospitali Baada ya Kukataa Kula Kwa Masaa 48 Akiwa Mahabusu, Siku ya leo anatarajiwa kupandishwa mahakamani kusomewa mashtaka yake..
Siasa Huru App Inapatikana Google Pay Store


POST A COMMENT

No comments:

Post a Comment