Aug 29, 2016

PICHA ya Ndege ya Kwanza Iliyonunuliwa na Air Tanzania Ikiwa Tayari Kwa Kuja Tanzania


Pichani ni ndege mpya ya Air Tanzania iliyo tayari kwa kila kitu. Hapa ipo kwenye Hangar(eneo la matengenezo ya ndege) nchini Canada tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania.

Wakati wowote mwanzoni mwa mwezi Septemba ndege mbili mpya zitawasili katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar.

No comments:

Post a Comment