• Breaking News

  Aug 2, 2016

  ​Picha za utupu za kisagaji za mke wa Donald Trump zasambaa

  Gazeti la New Daily News limechapisha picha za utupu za mke wa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump, Melania.


  Limeandika kuwa miaka mitatu kabla ya kukutana na mume wake, Donald Trump, Melania alipiga picha za utupu na mrembo mwingine kwaajili ya jarida la Ufaransa.

  Picha hizo za kisagaji zilipigwa huko Manhattan mwaka 1995, kipindi hicho akiitwa Melania Knauss, mwenye umri wa miaka 25 na alikuwa akitumia jina la “Melania K.”  Baadhi ya picha hizo ziliwekwa kwenye jarida la Max la Ufaransa, zaidi ya miaka 20 iliyopita. Baadhi yake hazijawahi kuchapishwa hadi sasa.

  Picha kali zaidi inamuonesha Melania akiwa amelala kitandani na mlimbwende aitwaye Emma Eriksson, akiwa mtupu pia nyumba yake.

  Alipoulizwa kuhusu picha hizo, Donald Trump alisema: Melania was one of the most successful models, and she did many photo shoots, including for covers and major magazines. This was a picture taken for a European magazine prior to my knowing Melania. In Europe, pictures like this are very fashionable and common.”

  Mrembo huyo raia wa Slovenia, mwenye miaka 46 sasa, alikutana na Trump kwenye hafla ya Fashion Week mwaka 1998. walioana January 2005 na wana mtoto mmoja, Baron, 10.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku