• Breaking News

  Aug 18, 2016

  Profesa Baregu: Tusimsingizie Nyerere Huhamia Dodoma, Tutafute Sababu za Sasa

  Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema ambaye pia ni mhadhiri wa chuo kikuu cha Mtakatifu Agostino, Profesa Mwesiga Baregu amekosoa uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma hivi sasa kwa kutumia sababu za miaka takriban 50 iliyopita.

  Profesa Baregu ameoneshwa kushangazwa na jinsi ambavyo uamuzi huo umefikiwa bila ya kufanyika kwa tathimini.

  Akieleza kuwa yapo mambo mengi ambayo yamebadilika na kwamba hata uamuzi uliotolewa miaka hiyo ilitokana na tathimini iliyozingatia hali halisi ya wakati huo...

  JE Kwa Unavyoona Sababu za Sasa kuna ulazima wa Kuhamia Dodoma?

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku