DAR: Idara ya Uhamiaji imewakamata raia wawili wa Congo na Malawi waajiriwa Serikalini. Mmoja alikuwa mfanyakazi wa TANESCO mwingine Mganga Kituo cha Afya Mburahati.

Raia huyo mmoja wa Congo anatuhumiwa kuingia nchini mwaka 1986 na kufanya kazi katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kinyume na sheria za nchi.


Post a Comment

 
Top