Rais John Magufuli leo amemteua Gabriel Daqarro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.

Daqarro anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Mrisho Gambo ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU, Gerson Msigwa imeeleza kuwa uteuzi wa Daqarro unaanza mara moja


Post a Comment

 
Top