• Breaking News

  Aug 31, 2016

  Rais Magufuli Afanya Uteuzi Mpya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha


  UTEUZI: Rais John Magufuli amemteua Dotto James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango.

  Kufuatia uteuzi huo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile atapangiwa kazi nyingine.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku